#KuchuParty
Hii ni ile bash ya makuchu watupu.
Leo hakuna cha supu,ni beer tupu.
Side to side,wapenya huku na huku.
Wame vaa,tunguo tupienga,tunusu.
Utadhani wako,utadhani wako tupu tupu
Wengine jicho damu,yaani wako mandukulu
Cheki wanavyo karibishana
Watoa full busu,hakuna cha nusu
Uuuuuh,cheki huu mguu,wa huyu sister doo
Boo
Una fanya watu, wa feel tu ku doo.
True,
Wani fanya ni feel,kizungu zunguu.
Kama wewe ni kuchu,hulipi hata ashuu ,
Na kama wee straight,walai,hupenyi hata Kaa,una ngiri bluu.
Kama wee ni wify,na huzy yako,ana kuleta juu.
Sister doo,do,kitu hujawahi doo.
Mfunge mguu
Vaa ka mini, umshow bado uko juu
Fika party,nikushow vile tuta do
Doo, doo,mfunge mguu
Vaa ka mini umshow bado uko juu
Fika party ni kushow vile tuta do.
Dooo dooo
Chorus
Mambo yeeee,mambo ,mambo,mambo waaa
Sote tuko freshy hakuna mtu ame zubaa
Amkeni kwenye viti ,tujirushe kwa jukwaa
Leo tuna party mpaka,kokorikoo
Verse 2
It’s a bash for kuchus only
No one is feeling lonely
The bash is full of gloy,no one here is feeling sorry
Every kuchu is shaking strongly
What their mama gave them,fully
Come on,Jolly, dance carefully
Don’t drop that booty
It’s been a long journey,let’s get funny
Beautiful economy
Machizi wacheza kamary
Ma chips funga,ni za sare
Wa mwenzako usi mdare
Kama wee ni baghatare,
Utakula vibare
No soup, drinks ni barley
Mziki kata,sio ballet
Hapa tuko party
There is no one in a hurry
Dj sasa,ana cheza ngoma za kale
Asifiwe mama,alie zaa kale
Skiza,kana bonga kikalee
Na haka shikiki ni kakale
Bash ime shika nary,
Most of kuchus dancing dirty
Wengine wana niomba ni wa marry
Ndani ndani ya hii kuchu party
Kokorikoooo kokorikoooo
Chorus
Mambo yeeee,mambo ,mambo,mambo waaa
Sote tuko freshy hakuna mtu ame zubaa.
Amkeni kwenye viti ,tujirushe kwa jukwaa.
Leo tuna party mpaka,kokorikoo.
Kokorikoo × 2
Verse 3
Haters,I know you feeling so much agony.
But if you like,for you,I will hire an attorney.
For this is my life, and it’s no one colony.
And truth is,it’s full of harmony.
Your life must be an irony.
Una chungulia kwa balcony.
Una ongea about my matrimony
Damn! You so funny.
You must be horny.
You got no money.
Pia hauna company
Pick your telephony
Call Ezekiel, the mister monotony
Mpe testimony.
Mshow makuchu ,leo tuna party
Eeeeh ,leo tuna party
Chorus
Sote tuko freshy hakuna mtu ame zubaa
Amkeni kwenye viti ,tujirushe kwa jukwaa
Leo tuna party mpaka,kokorikoo
Chorus
Mambo yeeee,mambo ,mambo,mambo waa
Sote tuko freshy hakuna mtu ame zubaa
Amkeni kwenye viti ,tujirushe kwa jukwaa
Leo tuna party mpaka,kokorikoo × 2